Cheusi Mtungi

Cheusi Mtungi

Cheusi Mtungi, mke kijana wa Cheche, maisha yake yote amekuwa na hisia kali za kifamilia. Aliolewa akiwa kijana sana, baada ya kujikuta kaangukia kwenye penzi zito sana na Cheche. Lakini – acha – maisha ya kweli ya ndoa ni magumu. Hivi ni kuhusu kuwa na watoto tu, kusafisha nyumba na kumpikia mume peke yake? Au kuna zaidi? Kuna nyakati alitamani kurudi na kuwa tena kwenye ile familia kubwa alikokulia. Lakini haya ndiyo maisha aliyoyachagua mapema – kwa hivyo yeye na Cheche hawana budi kujitahidi kuyaweka sawa.......

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search