Mwanaidi

Mwanaidi

Mke wa pili wa mzee Kizito, yeye zamani alikwisha kujiamulia kuwa nyumba ya jumuiya haiwezi na hasa chini ya kivuli cha mke wa kwanza wa Kizito, Farida. Kwa hiyo, kwa moyo mkunjufu akajinasua kwenye harakati na mipitopito ya uwa wa Kizio kuja kuwalea watoto wake watatu kwa uhuru. Hakupenda kabisa kuzaa watoto wengi hivi hivi tu, na hiyo ikamletea lawama nyingi. Lakini Mwanaidi ni mwanamke mwenye busara, maoni mazito na maadili, anayejua tofauti ya jema na baya na aliye tayari kuachwa aishi maisha yake bila kuburuzwa.

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search