Lulu

Lulu

Usicheze na hili shangingi! Wanawake wengine hupata tu chochote wanachotaka. – hata kiwe na gharama gani, au biashara gani, wanafahamu fika wanachohitaji. Na hakika hilo si penzi la mume. Hapana. Penzi kavu kavu la zamani litafaa. Kwenye ulimwengu ambako pesa ndio mfalme, ithibiti akilini mwako na kusema bila wasiwasi au upendeleo kuwa Lulu ni malkia. Amini usiamini, punde si punde bibi huyu anaweza kukugongea mlangoni wakati wowote, na Lulu ni mtu ambaye hatapenda kupata jibu la hapana.

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search