Tula

Tula

Ni mama mashughuli, aliyetulia na aliyejipanga, hivyo si rahisi kuona kuwa hata yeye ana mahitaji yanayotakiwa kutimizwa. Akiwa katika miaka ya kati ya ishirini, Tula amefanya makosa maishani na anajuta sana kwa kuwa bado ni kijana. Pamoja na upeo wake wa biashara (anaendesha kigrosari kilichonawiri) bado hajakamilisha mahitaji yake. Ni kama vile matamanio yake ya nafsi yamepuuzwa. Mpaka lini ataendelea na uhusiano wa kimapenzi na Cheche, mume wa mtu, aliyekuwa mpenzi wake tangu shuleni? Na ni lini atapata cha kumtosheleza ambacho kinampiga chenga?

ITV Siri ya Mtungi

Siri ya Mtungi Tafsiri

SYM Star Search